sw_tn/exo/14/06.md

289 B

Alichukuwa magari ya farasi mia sita imara

"Alichukuwa magari yake ya farasi 600 bora"

Yahweh akafanya mgumu moyo wa Farao

Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabia yake ya kiburi inazungumizwa kama moyo wake mgumu.

Pi Hahirothi ... Baali Zefoni

Hii miji mashariki mwa mipaka ya Misri.