sw_tn/exo/14/06.md

12 lines
289 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Alichukuwa magari ya farasi mia sita imara
"Alichukuwa magari yake ya farasi 600 bora"
# Yahweh akafanya mgumu moyo wa Farao
Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabia yake ya kiburi inazungumizwa kama moyo wake mgumu.
# Pi Hahirothi ... Baali Zefoni
Hii miji mashariki mwa mipaka ya Misri.