sw_tn/exo/14/04.md

897 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwelekeza Musa wapi pa kwenda na nini Yahweh atafanya.

Nitaufanya moyo wa Farao mgumu

Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabai yake ya kiburi inazungumziwa kama moyo wake ni mgumu.

yeye ata wakimbiza

"Farao ata wakimbiza Waisraeli"

Nitapata utukufu

"Watu watani heshimu"

Wamisri watajua mimi ni Yahweh

"Wamisri wataelewa kwamba mimi ni Yahweh, Mungu mmoja wa kweli"

Kisha Waisraeli wakaeka kambi kama walivyo elekezwa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

Mfalme wa Misri alipo ambiwa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

Mfalme wa Misri

Hii ya husu Farao.

wametoroka

"wamekimbia"

, nia ya Farao na watumishi wake ikageuka dhidi ya watu

Hapa neno "nia" ya husu tabia zao kwa Waisraeli.

Tumefanya nini kwa kuwaacha Waisraeli waende huru na wasitutumikie?

Waliuliza hili swali wakidhani kuwa wamefanya kitu cha kijinga.