sw_tn/exo/14/04.md

44 lines
897 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwelekeza Musa wapi pa kwenda na nini Yahweh atafanya.
# Nitaufanya moyo wa Farao mgumu
Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabai yake ya kiburi inazungumziwa kama moyo wake ni mgumu.
# yeye ata wakimbiza
"Farao ata wakimbiza Waisraeli"
# Nitapata utukufu
"Watu watani heshimu"
# Wamisri watajua mimi ni Yahweh
"Wamisri wataelewa kwamba mimi ni Yahweh, Mungu mmoja wa kweli"
# Kisha Waisraeli wakaeka kambi kama walivyo elekezwa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# Mfalme wa Misri alipo ambiwa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# Mfalme wa Misri
Hii ya husu Farao.
# wametoroka
"wamekimbia"
# , nia ya Farao na watumishi wake ikageuka dhidi ya watu
Hapa neno "nia" ya husu tabia zao kwa Waisraeli.
# Tumefanya nini kwa kuwaacha Waisraeli waende huru na wasitutumikie?
Waliuliza hili swali wakidhani kuwa wamefanya kitu cha kijinga.