sw_tn/exo/14/01.md

393 B

Pi Hahirothi ... Migdoli ..Baali Zefoni

Hii ni miji ya mashriki ya mipaka ya Misri.

Wapaswa kueka kambi

Hapa neno "wapaswa" ni wingi na la husu Musa na Waisraeli.

Farao atasema kuhusu Waisraeli, 'Wanaangaika kwenye nchi. Nyikani imewafunika.'

Hii ya weza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.

Nyikani imewafunika

Farao anaingelea nyikani kama mtu aliye wakamata Waisraeli.