sw_tn/exo/14/01.md

16 lines
393 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Pi Hahirothi ... Migdoli ..Baali Zefoni
Hii ni miji ya mashriki ya mipaka ya Misri.
# Wapaswa kueka kambi
Hapa neno "wapaswa" ni wingi na la husu Musa na Waisraeli.
# Farao atasema kuhusu Waisraeli, 'Wanaangaika kwenye nchi. Nyikani imewafunika.'
Hii ya weza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.
# Nyikani imewafunika
Farao anaingelea nyikani kama mtu aliye wakamata Waisraeli.