sw_tn/exo/13/19.md

242 B

kuweka kambi Ethamu

Ethamu ipo kusini mwa njia ya kuelekea kwa Wafilisti, katika mpaka wa nyikani.

nguzo ya wingu ... nguzo ya moto

"wingu kwa mfumo wa mnara ... moto kwa mfumo wa mnara." Mungu yupo nao kwa wingu mchana na moto usiku.