# kuweka kambi Ethamu Ethamu ipo kusini mwa njia ya kuelekea kwa Wafilisti, katika mpaka wa nyikani. # nguzo ya wingu ... nguzo ya moto "wingu kwa mfumo wa mnara ... moto kwa mfumo wa mnara." Mungu yupo nao kwa wingu mchana na moto usiku.