sw_tn/exo/12/49.md

12 lines
303 B
Markdown

# kama Yahweh alivyo waamuru Musa na Aruni.
"kila kitu Yahweh alicho mwambia Musa na Aruni kufanya"
# Ikaja kuwa
Huu mstari unatumika hapa kuweka alama ya tukio muhimu katika adithi.
# kwa makundi yalio jiami
Neno lilotumika kwa haya makundi ni msemo wa kijeshi unao husu idadi kubwa ya wanajeshi.