sw_tn/exo/12/49.md

303 B

kama Yahweh alivyo waamuru Musa na Aruni.

"kila kitu Yahweh alicho mwambia Musa na Aruni kufanya"

Ikaja kuwa

Huu mstari unatumika hapa kuweka alama ya tukio muhimu katika adithi.

kwa makundi yalio jiami

Neno lilotumika kwa haya makundi ni msemo wa kijeshi unao husu idadi kubwa ya wanajeshi.