sw_tn/exo/12/29.md

491 B

usiku wa manane

"katikati ya usiku"

wazaliwa wote wa kwanza wa nchi ya Misri

Hapa "wazaliwa wa kwanza" mara zote ina maana ya mzao mkubwa wa kiume.

aliye keti kiti chake cha enzi

Hii ya husu Farao.

mzaliwa wa kwanza wa mtu aliye gerezani

Hii ya husu wafungwa, kwa ujumla, na sio mtu maalumu gerezani.

Palikuwa na kelele za maombolezo Misri

Hii yaweza andikwa katika tensi nenaji.

kwa kuwa hakukuwa na nyumba ambayo hamna mtu hakufa

Hii hasi mbili ina sisitiza chanya.