# usiku wa manane "katikati ya usiku" # wazaliwa wote wa kwanza wa nchi ya Misri Hapa "wazaliwa wa kwanza" mara zote ina maana ya mzao mkubwa wa kiume. # aliye keti kiti chake cha enzi Hii ya husu Farao. # mzaliwa wa kwanza wa mtu aliye gerezani Hii ya husu wafungwa, kwa ujumla, na sio mtu maalumu gerezani. # Palikuwa na kelele za maombolezo Misri Hii yaweza andikwa katika tensi nenaji. # kwa kuwa hakukuwa na nyumba ambayo hamna mtu hakufa Hii hasi mbili ina sisitiza chanya.