sw_tn/exo/10/27.md

20 lines
411 B
Markdown

# Yahweh aliufanya moyo wa Farao mgumu
Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabia yake ya kiburi inazungumzwa hapa kama moyo wake mgumu.
# hakuwaacha waende
"Farao hakuwaacha waende"
# Kuwa muangalifu na jambo moja
"Hakikisha jambo moja" au "Kuwa na uhakika kuhusu jambo moja"
# uona uso wangu
Hapa neno "uso" la husu mtu wote"
# Wewe mwenyewe umesema
Kwa haya maneno, Musa anakazia kuwa Farao amesema ukweli.