sw_tn/exo/10/27.md

411 B

Yahweh aliufanya moyo wa Farao mgumu

Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabia yake ya kiburi inazungumzwa hapa kama moyo wake mgumu.

hakuwaacha waende

"Farao hakuwaacha waende"

Kuwa muangalifu na jambo moja

"Hakikisha jambo moja" au "Kuwa na uhakika kuhusu jambo moja"

uona uso wangu

Hapa neno "uso" la husu mtu wote"

Wewe mwenyewe umesema

Kwa haya maneno, Musa anakazia kuwa Farao amesema ukweli.