sw_tn/exo/10/07.md

395 B

msumbufu

Mtu "msumbufu" ni mtu anaye leta shida au madhara.

Mpaka lini huyu mwanaume ata kuwa msumbufu kwetu?

Watumishi wa Farao wanauliza hili swali kumuonyesha Farao kiasi cha uharibifu wa Misri.

Bado haujatambua kuwa Misri imeharibiwa?

Watumishi wa Farao wanauliza hili swali kumleta Farao atambue anacho kataa kuona.

Misri imeharibiwa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.