sw_tn/exo/10/07.md

16 lines
395 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# msumbufu
Mtu "msumbufu" ni mtu anaye leta shida au madhara.
# Mpaka lini huyu mwanaume ata kuwa msumbufu kwetu?
Watumishi wa Farao wanauliza hili swali kumuonyesha Farao kiasi cha uharibifu wa Misri.
# Bado haujatambua kuwa Misri imeharibiwa?
Watumishi wa Farao wanauliza hili swali kumleta Farao atambue anacho kataa kuona.
# Misri imeharibiwa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.