sw_tn/exo/09/31.md

263 B

kitani

Huu ni mmea unao zalisha nyuzi zinazo tengeneza nguo.

shayiri

Hii ni aina ya mbegu inayo tumika kutengeneza mkate; pia ya tumika kulisha mifugo.

kusemethu

Hii ni aina ya ngano

alitanua mikono yake kwa Yahweh

Hii ishara ya ambatana na maombi