# kitani Huu ni mmea unao zalisha nyuzi zinazo tengeneza nguo. # shayiri Hii ni aina ya mbegu inayo tumika kutengeneza mkate; pia ya tumika kulisha mifugo. # kusemethu Hii ni aina ya ngano # alitanua mikono yake kwa Yahweh Hii ishara ya ambatana na maombi