sw_tn/exo/09/15.md

349 B

ningeweza kuunyosha mkono wangu na kukushambulia wewe

Hapa "mkono wangu" wa husu nguvu ya Mungu.

ili kwamba jina langu litangazwe dunia nzima

Hapa "jina langu" la wakilisha sifa ya Yahweh.

unajiinua dhidi ya watu wangu

Upinzani wa Farao kuto waachia wa Israeli kwenda kumuabudu Yahweh unazungumziwa kama anajiinua yeye kuwa kikwazo kwao.