sw_tn/exo/09/15.md

12 lines
349 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ningeweza kuunyosha mkono wangu na kukushambulia wewe
Hapa "mkono wangu" wa husu nguvu ya Mungu.
# ili kwamba jina langu litangazwe dunia nzima
Hapa "jina langu" la wakilisha sifa ya Yahweh.
# unajiinua dhidi ya watu wangu
Upinzani wa Farao kuto waachia wa Israeli kwenda kumuabudu Yahweh unazungumziwa kama anajiinua yeye kuwa kikwazo kwao.