sw_tn/exo/07/11.md

163 B

lilimeza

"lilikula" au "liliharibu"

Moyo wa Farao ulikuwa mgumu

Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabia yake ya kiburi inazungumziwa kama moyo wake ulikuwa mgumu.