sw_tn/exo/07/11.md

8 lines
163 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# lilimeza
"lilikula" au "liliharibu"
# Moyo wa Farao ulikuwa mgumu
Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabia yake ya kiburi inazungumziwa kama moyo wake ulikuwa mgumu.