sw_tn/exo/06/02.md

12 lines
238 B
Markdown

# Nilimtokea Ibrahimu, Isaka, na Yakobo
"Nilijionyesha kwa Ibrahimu, Isaka, na Yakobo"
# sikujuliikana kwao
Hii yaweza andikwa katika sentensi tendeaji.
# kilio
Hii ina maana ya kufanya sauti za uzuni kwasababu ya maumivu na mateso.