# Nilimtokea Ibrahimu, Isaka, na Yakobo "Nilijionyesha kwa Ibrahimu, Isaka, na Yakobo" # sikujuliikana kwao Hii yaweza andikwa katika sentensi tendeaji. # kilio Hii ina maana ya kufanya sauti za uzuni kwasababu ya maumivu na mateso.