sw_tn/exo/05/03.md

12 lines
316 B
Markdown

# Mungu wa Waebrania
Hili ni neno linalo tumika kwa ajili ya Mungu wa Waisraeli au Yahweh.
# au kwa upanga
Hapa "upanga" ya wakilisha vita au shambulizi la maadui.
# kwanini unachukuwa watu kutoka kazini kwao?
Farao anatumia swali hili kuonyesha hasira yake kwa Musa na Aruni kuwatoa Waisraeli kwenye kazi yao.