sw_tn/exo/05/03.md

316 B

Mungu wa Waebrania

Hili ni neno linalo tumika kwa ajili ya Mungu wa Waisraeli au Yahweh.

au kwa upanga

Hapa "upanga" ya wakilisha vita au shambulizi la maadui.

kwanini unachukuwa watu kutoka kazini kwao?

Farao anatumia swali hili kuonyesha hasira yake kwa Musa na Aruni kuwatoa Waisraeli kwenye kazi yao.