sw_tn/exo/04/21.md

16 lines
434 B
Markdown

# ata fanya moyo wake mgumu
Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabia yake ya kiburi inazungmziwa kama moyo wake ni mgumu.
# Israeli ni mwana wangu
Neno "Israeli" hapa lina wakilisha watu wote wa Israeli.
# ni mwana wangu, mzaliwa wangu wa kwanza
Hapa watu wa Israeli wanazungumziwa kama wazaliwa wa kwanza anaye sababisha furaha na kiburi.
# Nitaua mwanao hakika, mzaliwa wako wa kwanza
Neno "mwana" hapa la husu mwana halisi wa Farao