sw_tn/exo/04/21.md

434 B

ata fanya moyo wake mgumu

Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabia yake ya kiburi inazungmziwa kama moyo wake ni mgumu.

Israeli ni mwana wangu

Neno "Israeli" hapa lina wakilisha watu wote wa Israeli.

ni mwana wangu, mzaliwa wangu wa kwanza

Hapa watu wa Israeli wanazungumziwa kama wazaliwa wa kwanza anaye sababisha furaha na kiburi.

Nitaua mwanao hakika, mzaliwa wako wa kwanza

Neno "mwana" hapa la husu mwana halisi wa Farao