sw_tn/exo/04/10.md

771 B

mnenaji hodari

"mnenaji mzuri"

mimi ni mtaratibu wa kuongea na mtaratibu wa ulimi

Haya maneno "mtaratibu wa kuongea" na "mtaratibu wa ulimi" yana maana moja. Musa alitumia kuwe mkazo kuwa sio msemaji mzuri.

mtaratibu wa ulimi

Hapa "ulimi" wa husu Musa na uwezo wake wa kuongea.

Nani aliye ufanya mdomo wa mwanadamu?

Yahweh anatumia swali kuweka mkazo kwamba yeye ni muumbaji anaye wezesha watu kuzungumza.

Nani anaye mfanya mtu bubu au kiziwi au kuona au kipofu?

Yahweh anatumia swali kuweka mkazo kwamba yeye ndiye anaye amua kama watu wataongea na kusikia, na kama wataona.

Siye mimi, Yahweh?

Yahweh anatumia swali kuweka mkazo kwamba yeye ndiye mwenye maamuzi haya.

nitakuwa na mdomo wako

Hapa "mdomo" wa husu Musa na uwezo wake wakuongea.