# mnenaji hodari "mnenaji mzuri" # mimi ni mtaratibu wa kuongea na mtaratibu wa ulimi Haya maneno "mtaratibu wa kuongea" na "mtaratibu wa ulimi" yana maana moja. Musa alitumia kuwe mkazo kuwa sio msemaji mzuri. # mtaratibu wa ulimi Hapa "ulimi" wa husu Musa na uwezo wake wa kuongea. # Nani aliye ufanya mdomo wa mwanadamu? Yahweh anatumia swali kuweka mkazo kwamba yeye ni muumbaji anaye wezesha watu kuzungumza. # Nani anaye mfanya mtu bubu au kiziwi au kuona au kipofu? Yahweh anatumia swali kuweka mkazo kwamba yeye ndiye anaye amua kama watu wataongea na kusikia, na kama wataona. # Siye mimi, Yahweh? Yahweh anatumia swali kuweka mkazo kwamba yeye ndiye mwenye maamuzi haya. # nitakuwa na mdomo wako Hapa "mdomo" wa husu Musa na uwezo wake wakuongea.