sw_tn/exo/03/04.md

437 B

kutengwa

"kilicho fanywa takatifu"

Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo

Hawa wanaume wote walimuabudu Mungu mmoja.

baba yako

Maana inayo wezekana ni 1) "babu yako" au 2) "baba yako." Kama ina maana babu yako," kisha basi maneno yafuatayo ya fafananua nani "baba yako" ina muhusu: ina muhusu Ibrahimu, Isaka, na Yakobo. Kama ina maana ya "baba yako," kisha basi ina muhusu baba yake Musa.