# kutengwa "kilicho fanywa takatifu" # Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo Hawa wanaume wote walimuabudu Mungu mmoja. # baba yako Maana inayo wezekana ni 1) "babu yako" au 2) "baba yako." Kama ina maana babu yako," kisha basi maneno yafuatayo ya fafananua nani "baba yako" ina muhusu: ina muhusu Ibrahimu, Isaka, na Yakobo. Kama ina maana ya "baba yako," kisha basi ina muhusu baba yake Musa.