sw_tn/exo/02/23.md

293 B

sononeka

Walifanya hivi kwasababu ya uzuni na mateso yao.

maombi yao yakaenda kwa Mungu

kilio chao Waisraeli kikaenda kinazungumziwa kama ni mtu na anaweza kwenda Mungu alipo.

Mungu akakumbuka agano lake

Hii ilikuwa namna ya kitamaduni yakusema Mungu aliwaza kuhusu alicho kiahidi.