sw_tn/exo/02/23.md

12 lines
293 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# sononeka
Walifanya hivi kwasababu ya uzuni na mateso yao.
# maombi yao yakaenda kwa Mungu
kilio chao Waisraeli kikaenda kinazungumziwa kama ni mtu na anaweza kwenda Mungu alipo.
# Mungu akakumbuka agano lake
Hii ilikuwa namna ya kitamaduni yakusema Mungu aliwaza kuhusu alicho kiahidi.