sw_tn/exo/01/11.md

326 B

mabwana wa kazi

"waendesha watumwa." Hawa walikuwa Wamisri ambao kazi yao ilikuwa kulazimisha Waisraeli kufanya kazi ngumu.

kuwa kandamiza kwa kazi ngumu

"kuwa lazimisha Waisraeli kufanya kazi ngumu ya Wamisri"

miji ya ghala

Hizi zilikuwa sehemu viongozi walipo weka chakula na vitu vingine muhimu kuviweka salama.