# mabwana wa kazi "waendesha watumwa." Hawa walikuwa Wamisri ambao kazi yao ilikuwa kulazimisha Waisraeli kufanya kazi ngumu. # kuwa kandamiza kwa kazi ngumu "kuwa lazimisha Waisraeli kufanya kazi ngumu ya Wamisri" # miji ya ghala Hizi zilikuwa sehemu viongozi walipo weka chakula na vitu vingine muhimu kuviweka salama.