sw_tn/exo/01/08.md

24 lines
374 B
Markdown

# akainuka juu ya Misri
Hapa "Misri" ya husu watu wa Misri.
# Akasema kwa watu wake
"Mfalme akasema kwa watu wake"
# watu wake
Hawa walikuwa watu waliyo ishi Misri, Wamisri.
# na tufanye
Neno "sisi" lina jumuisha na kuhusu mfalme na watu wake, Wamisri.
# Vita vikalipuka
Hapa vita vinatajwa kama mtu anaye weza kufanya matendo.
# kuondoka nchini
"kuondoka Misri"