sw_tn/exo/01/08.md

374 B

akainuka juu ya Misri

Hapa "Misri" ya husu watu wa Misri.

Akasema kwa watu wake

"Mfalme akasema kwa watu wake"

watu wake

Hawa walikuwa watu waliyo ishi Misri, Wamisri.

na tufanye

Neno "sisi" lina jumuisha na kuhusu mfalme na watu wake, Wamisri.

Vita vikalipuka

Hapa vita vinatajwa kama mtu anaye weza kufanya matendo.

kuondoka nchini

"kuondoka Misri"