sw_tn/est/06/04.md

28 lines
391 B
Markdown

# Hamani
Tafsiri kama katika 3:1
# ua wa nje
"ua wa kwanza kutoka nje"
# kumtundika Modekai
"kumweka Modekai kwenye kifo kwa kumtundika"
# miti ya kutundikia
Tafsiri hili kama katika 2:22
# kuweka
"kujenga"
# akasema moyoni mwake
"akafikiri mwenyewe"
# Ni nani ambaye mfalme apenda kumuheshimu zaidi yangu?
'Hakika hakuna mwingine ambaye mfalme apenda kumuheshimu zaidi yangu!"