# Hamani Tafsiri kama katika 3:1 # ua wa nje "ua wa kwanza kutoka nje" # kumtundika Modekai "kumweka Modekai kwenye kifo kwa kumtundika" # miti ya kutundikia Tafsiri hili kama katika 2:22 # kuweka "kujenga" # akasema moyoni mwake "akafikiri mwenyewe" # Ni nani ambaye mfalme apenda kumuheshimu zaidi yangu? 'Hakika hakuna mwingine ambaye mfalme apenda kumuheshimu zaidi yangu!"