sw_tn/eph/03/20.md

16 lines
316 B
Markdown

# kauli unganishi
Paulo anamalizia sala yake kwa baraka.
# Maelezo ya ujumla:
maneno "sisi" na "sisi" katika kitabu hiki yanaendelea kuwahusisha Paul na waaminio wote.
# Sasa kwake
"Sasa kwa Mungu, ambaye"
# kila kitu mbali, mbali juu
Mungu anaweza kufanya zaidi kuliko tunayoweza milele kuomba au kufikiria.