forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
640 B
Markdown
24 lines
640 B
Markdown
# Kwa sababu hiyo
|
|
|
|
"Kwa sababu Mungu amefanya yote haya kwa ajili yenu"
|
|
|
|
# Napiga magoti kwa Baba
|
|
|
|
"Nina inama chini kwa maombi kwa Baba" au "Mimi kwa unyenyekevu kumwomba Baba"
|
|
|
|
# kwa kupitia kwake kila familia hapa duniani na minguni imetajwa
|
|
|
|
kitendo cha kumtaja hapa pengine pia inawakilisha kitendo cha kujenga: "aliyeumba na kutaja jina kila familia mbinguni na duniani"
|
|
|
|
# Namwomba Mungu wewe
|
|
|
|
"kuwa angeweza kukupa"
|
|
|
|
# kwamba akubariki, kutokana na utajiri wa baraka zake, akufanye imara kwa nguvu
|
|
|
|
"Mungu, kwa sababu yeye ni kubwa sana na myenye nguvu, anaweza kuruhusu wewe kuwa na nguvu kwa uwezo wake"
|
|
|
|
# Awajalieni
|
|
|
|
"angetoa"
|