sw_tn/eph/03/10.md

24 lines
747 B
Markdown

# viongozi na mamlaka yaliyopo mbinguni zitakuja kujulikana pande nyingi za asili ya hekima ya Mungu
ilikuwa upande asili ya hekima ya Mungu - "Mungu atafanya hekima yake kubwa ijulikane kwa viongozi na mamlaka katika ulimwengu wa roho kupitia Kanisa "
# pande nyingi za asili ya hekima ya Mungu
ilikuwa upande asili ya hekima ya Mungu - hekima ya Mungu tata
# watawala na mamlaka
Maneno haya yanashiriki maana sawa. Paulo anatumia yote pamoja na kusisitiza kwamba kila kiumbe cha kiroho watajua hekima ya Mungu.
# kulingana na mpango wa milele
"katika kutunza mpango wa milele" au "sambamba na mpango wa milele"
# katika Kristo Yesu Bwana wetu
Kwa njia ya Kristo
# katika ulimwengu wa roho
Kuona jinsi ya kutafsiriwa hii angalia 1:3