sw_tn/eph/03/01.md

16 lines
419 B
Markdown

# kauli unganishi
Kufanya wazi ukweli siri kuhusu kanisa kwa waumini, Paulo anataja nyuma umoja wa Wayahudi na Mataifa na hekalu la ambayo waumini sasa ni sehemu.
# Kwasababu ya hii
"Kwasababu ya neema ya Mungu kwako"
# mfungwa wa Kristo Yesu
"moja ambaye Kristo Yesu amemuweka katika gereza"
# usimamizi wa zawadi ya Mungu kwamba yeye alinipa kwa ajili yenu
"Wajibu Mungu alinipa kusimamia neema yake juu yenu"