sw_tn/ecc/12/04.md

12 lines
229 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Mwandishi anaendeleza sitiari yake.
# milango imefungwa katika mtaa
"watu walifunga milango iliyoelekea katika mtaa"
# wakati wanaume watasitushwa kwa mlio wa ndege
"wakati sauti ya ndege itakapowashtua"