# Taarifa ya Jumla: Mwandishi anaendeleza sitiari yake. # milango imefungwa katika mtaa "watu walifunga milango iliyoelekea katika mtaa" # wakati wanaume watasitushwa kwa mlio wa ndege "wakati sauti ya ndege itakapowashtua"