sw_tn/ecc/11/04.md

12 lines
571 B
Markdown

# Yeyote autazamaye upepo yawezekana asipande
Maana zinazowezekana ni 1) "Mkulima yeyote anayetilia maanani upepo hatapanda wakati upepo unapopuliza upande usiofaa" au 2) "Mkulima yeyote anayetilia maanani sana upepo hatapanda."
# yeyote atazamaye mawingu yawezekana asivune
Maana zinazowezekana ni 1) "Mkulima yeyote anayetilia maanani mawingu hatavuna inapotaka kunyesha" au 2) "Mkulima yeyote anayetilia maanani sana mawingu hatavuna."
# ambavyo mifupa ya mtoto ikuavyo
Maana zinazowezekana ni 1) "jinsi mtoto anavyokuwa" au 2) "jinsi mifupa ya mtoto inavyokua."