sw_tn/ecc/10/18.md

20 lines
470 B
Markdown

# Kwa sababu ya uvivu paa huanguka
Mtu mvivu hawezi kuitunza nyumba kwa kawaida.
# kwa sababu ya mikono isiyo fanya kazi
"kwa sababu ya mtu asiye fanya kazi"
# Watu huandaa chakula kwa ajili kicheko
"Watu huandaa chakula kwa ajili ya kucheka"
# divai huleta furaha maishani
"divai husaidia watu kufurahia maisha"
# fedha hutimiza hitaji kwa kila kitu
Maana zinazowezekana ni 1) "fedha husaidia kila hitaji" au 2) "fedha husaidia kwa ajili ya chakula na divai."