# Kwa sababu ya uvivu paa huanguka Mtu mvivu hawezi kuitunza nyumba kwa kawaida. # kwa sababu ya mikono isiyo fanya kazi "kwa sababu ya mtu asiye fanya kazi" # Watu huandaa chakula kwa ajili kicheko "Watu huandaa chakula kwa ajili ya kucheka" # divai huleta furaha maishani "divai husaidia watu kufurahia maisha" # fedha hutimiza hitaji kwa kila kitu Maana zinazowezekana ni 1) "fedha husaidia kila hitaji" au 2) "fedha husaidia kwa ajili ya chakula na divai."