sw_tn/ecc/08/16.md

16 lines
326 B
Markdown

# Nikauweka moyo wangu
"Nikusudia" au "Niliamua"
# kazi inayofanyika juu ya nchi
"kazi ambayo watu wanafanya duniani"
# pasipo kufumba macho
"bila kulala"
# kazi inayofanyika chini ya jua
Maana zinazowezekana ni 1) "kazi ambayo Mungu anafanya chini ya jua" au 2) "kazi ambayo Mungu anaruhusu watu kufanya chini ya jua"